Kionjo cha Unafiki

Leesfragment
€1,79

Kionjo cha Ushairi ni neno la kutufaa katika maisha ya mahusiano mema.

James Kemoli Amata alikuwa mwalimu wa (Christian Religious Education na) Kiswahili katika Moi Girls High School, Eldoret (Septemba 1977-1886; Julai 1990-Februari 2000); Wangulu Secondary School, Wodanga (1987-Julai 1990) na St John The Baptist Likuyani Secondary School (Februari 2000-2007).
Akiwa mwalimu aliwahi kuwa mtahini (1976-2001) wa mitihani mbalimbali Insha-KCPE; Christian Religious Education- KJSE; Christian Religious Education- KCE and Insha- KCSE.
Ametunga vitabu mbalimbali kikiwemo Taaluma ya Ushairi akishirikiana na Kitula King’ei na riwaya Kisa cha Zahara Mage.

pro-mbooks3 : libris