MAISHA ya MJUSI na BUIBUI

Leesfragment
€0,99

Mjusi na Buibui wanaishi maisha ya kawaida. kula hulazimika watoe jasho. Buibui ana wazo la kuunda mtambo wa kuwawezesha kula bila kutoa jasho. Mjusi analipuuzilia mbali wazo hilo kwa imani waliumbwa wawe waking'ang'ana.

Buibui anaamua kuunda mtatao wake ambao ni utando wa kumwezesha kula bila kutoa jasho na kula anachotaka na anapotaka.

pro-mbooks3 : libris