Aste Aste: Asanteni

Leesfragment
€5,98

Kutoka Septemba elfu mbili na ishirini hadi Septemba elfu mbili ishirini na tano, zimekuwa takribani miaka tano safari kuwaandikia vitabu aghalabu zaidi ya hamsini na mbili mlizozienzi sana. Talanta alinipa Mola mpaka 'nikaweza fika hadi ughaibuni'. Pongezi 'tuzo' kwa ufanisi unyenyekevu mmenipa wengi fani wangu, singedhania kudhaminiwa na Wamarekani, Watanzania na adinasi kadhaa wa nchi zingine pia. Asanteni sana tena sana fani waaminifu wangu. Hii shairi kwa lugha niipendayo natabaruku kwenyu nyie wote, hongera baadhi wengi sasa mwaelewa Swahili.
Utafsiri itaja ambao Swahili labda kakanganya.

pro-mbooks3 : libris