Zambada na Hadithi zingine

Leesfragment
€4,99

Kuna wakati maisha yanaonekana kama fumbo lisilo na majibu sahihi,katika nyakati kama hizo unahitaji ujasiri ili uweze kuendelea kusonga mbele.

Waswahili hawakukosea waliposema kuwa maisha ni safari,hata hivyo jambo moja la uhakika binadamu sio dereva wa safari yake bali ni abiria asiyejua mahali aendako.

Kitabu hiki kina jumla ya simulizi fupi kumi na nne (14),kimeandaliwa kwa ajili ya kuelimisha mambo mbalimbali kuhusu maisha,lakini pia kuburudisha na kukuhamasisha ili uweze kuendelea ulipoishia kwa nguvu zote.

.

Nakukaribisha kwenye ulimwengu wa mawazo yangu

pro-mbooks3 : libris