0
ISBN
9798227559371
Genre
Algemeen
Verschenen
23-08-2024
Bindwijze
Ebook EPUB
Taal
swa
Uitgever
?Shannel Steven Silwimba
Auteur(s)
Shannel S Silwimba
Uumbaji wa Mtu
Shannel S Silwimba
In winkelmandje
Leesfragment
€9,49
Kitabu
Uumbaji
wa
Mtu;
kinaanzia
na
YAHWEH
Katika
Milele
kuchambua
yapi
na
vipi
vilipelekea
kuumbwa
kwa
ulimwengu,
na
hatimaye
pawepo
mahali
wakati
ambapo
mtu
angeweza
umbwa
na
kuishi
humo.
Ndipo
tunaonyeshwa
Kuumbwa
kwa
Roho
na
Nafsi
ya
Mtu
katika
milele,
kabla
kabisa
ya
Kufanywa
kwa
Mwili
Mme
na
Mke,
kwa
minajili
ya
mtu
katika
hali
ya
roho-nafsi
ahifadhiwe
humo.Mpango
wa
Ukombozi
unaonyeshwa
kama
matokeo
ya
kuhakikisha
uhitaji
wa
Mungu
YAHWEH
kuwa
na
familia
unakamilika.
Na
hili
lilijulikana
na
kupangwa
kabla
ya
uanguko
wa
mtu
duniani.
Hivyo
tokea
ufahamu
huu,
tunachungua
kwa
kina
Tafsiri
na
Asili
ya
Uasi
na
Dhambi,
na
hususani
Kudanganywa
kwa
Havaa
(Eva)
na
Uafiki
wa
Adam.
Kuhitimisha
haya
yote
tunafanyia
uhakiki
Dhana
ya
Dhambi
ya
Asili.
Pamoja
na
haya
ni
mengi
mengine
ya
kushangaza
na
kustaajabisha
kuhusu
Uumbaji
wa
Mtu.Katika
haya
tunajibu
sababu
ya
uwepo
wako
hapa
duniani,
na
maalumu
kabisa
ni
yapi
ndiyo
wajibu
na
majukumu
yako
kama
mtu.
Na
bila
kupoteza
muda
tunafanyia
mapitio
nadharia
kadhaa
za
uumbaji,
kuthibitisha
kweli
ya
maandiko
matakatifu.
Kitabu
chafaa
sana
kwa
Mafundisho
ya kitaaluma.
<
1 of 175
>
pro-mbooks3 : libris